Nyama nyama nyama

Buffalo falls into ditch at Karwamba Primary School- Tharaka Nithi, residents wait to turn it into meat.
[ATTACH=full]29733[/ATTACH]
@Wakanyama Njoo uchukue mara na makagari

14 Likes

Hapa unangonja kwanza iuawe kabla hujaleta tamaa… If you jump into that ditch… You’ll die first

Hizi huwa hakuna skinning hufanywa. Unakata piece yako na kuishia skinning utafanya nyumbani.

1 Like

The party has begun.
[ATTACH=full]29735[/ATTACH]

8 Likes

Ata @pamba yuko na hana shida yeyote. [ATTACH=full]29736[/ATTACH]

8 Likes

Na watu wa kws huwa wapi hii mambo yote ikitendeka? I thought killing wildlife was a crime?

@Wakanyama miguu na mithairo, for roasted meat

1 Like

This is @Wakanyama condition right now…
[ATTACH=full]29737[/ATTACH]

30 Likes

Si leo kwa @Wakanyama mitura itashika mbaya

2 Likes

That is one happy village today.

3 Likes

mboys wetu wakameat amerukia makagary mara hiyo hiyo

Hapa @gashwin ameenda kutafuta avocado :D:)

10 Likes

Hivi ndivyo @Wakanyama atakuwa akifanya leo jioni

http://cache2.asset-cache.net/gc/507160691-cartoon-man-having-a-barbecue-with-a-drink-gettyimages.jpg?v=1&c=IWSAsset&k=2&d=8HBLJNulLYDqU2opaVSQDlkGz4pZKcXPGISqkszMuyFDzkkVWmkxntE6s93Saswu

5 Likes

Na @Meria Mata
https://encrypted-tbn3.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcS1cjwDsHBheD2ODe9V_3hD7TFfC7Pfd9w2Y05kqtx_cnd_pLei

5 Likes

Inakaa ushawahi kua in such a situation, leta hekaya

1 Like

me after kuona guys wamekula hippo iko Na anthrax huko kwetu,sitambui hizi nyama za kuchinja kwa bush,hata roadkill siku hizi I can’t touch,kugonga Na kuwacha kina wakameat wakitaka wachukue…

mtu awekee @Wakanyama ile gif ya mad max kwenye war boys wanawika “what a looovely day”

4 Likes

Naskianga elephant pia ni edible,but you have to first boil it for hours

Ukipata elephant go for the liver and heart, hii nilijua wakati moja iligongwa na train hapo voi.

Where i come from ukisikia mayowe, nyende, kamsa etc about sighting of such then kila mtu hutoka na PANGA + another weapon eg mkuki, rungu etc. The animal itakimbizwa na kushambuliwa till it takes its last breath. Once it falls down, there is no order i.e eti niliona wa kwanza so i should take my share first. Neither hakuna skinning halafu kugawia kila mtu equal share. You take your PANGA(remember nilitaja panga hapo juu) go cut your piece na upotee. Skinning na kuosha utajifanyia kwako/kwenu. The meat is usually gone within seconds

3 Likes