[MEDIA=reddit]TrueOffMyChest/comments/10l3s02[/MEDIA]
:D:D:D:D:D the singlemother part @Yuletapeli kama hujaweka acres kadhaa kando expect the same from your kids. Sujui nitaje ule legacy ninja ama nisamehe yeye
Huyo kijana hajafunzwa na ulimwengu bado aje mambo sio rahisi.
Huwa munaambiwa usioe singo mathaa na kitoto chake hamskii… Ona sasa the bastard of a son ameanza kuonyesha his true colors…
upusssssssssssss
Kabla uoe single mother huwa umekubali na roho yako yote. Hiyo kuitishwa pesa ya kununulia Jayden food, fees, toys etc huwa umekubali kutoa much longer before you take them in. Alafu remember huyo MTU hajawai spend a weekend in your house
Hicho kijitoto chake kina tabia kama za babake :D.