Numbisa, Coco channel, Miss Natafuta,

Hahaha jina bomba kabisa
Wasemea kijana mpole au?atakua bado kafungiwa jela ya JF huko

Tungo tata mkuu,Kitumbua cha nani kitamu?

Hahah!! Mkuu unanitafutia ubaya kwa haya unayoyazua sasa

Nimemmiss mpaka basi. SYB naye yuko wapi?

Daaah

SYB nae haonekan tangu tufungiwe our home sweet home

Waambie wantengenezee Magimbi

Aiseeeh

we naona hautaki kuendeleza msingi:D

Wapi numbisa…

Kwani haunioni jirani?

Ngumu sana! Labda unifanyie maombi!