Number plate

At the garage someone came to me and told me he will add a sheet of metal and rivet my number plates at seven k.Ilibidi nimemfukuza mbio sana that service usually costs 1k

Hiyo hata si kitu ya kulipia, if you have the items at hand. Just bolt it on yourself.

1 Like

i bolted my number plates case closed hata hio mabati sioni maana

2 Likes

Ni pesa tu watu wanatafuta, and it’s OK. Lakini the small things mtu anaweza jifanyia husaidia to save a shilling here and there.

but huyu ni mbwa kitu ya 1k unataka 7k nilimtusi mechanics wakamcheka

1 Like

It’s annoying to try to overcharge customers. Asking for 7k was both outrageous and stupid. Kuna watu huwa wanadhani kama una gari uko helpless and ignorant on everything, hao ndio wanatesa wateja. Hata mimi nikiona unajaribu kuniexploit siwezi kupa hio kazi. Lakini kama mtu ana adabu unamwacha akufanyie hata vitu huhitaji, ndio aweze kula pia.

5 Likes

Apo utawala nilipark gari bazuu fulani akaanza kudai anafanya headlight restoration

Nilikataa akaanza kuosha out of nowhere wakatokea watu kama watano wakazunguka gari
Hao wote walikuwa high bana
Niliona mchezo wa taon nikareverse na kuenda

1 Like

Our GM’s driver alikatwa salo juu ya hii maneno. The price wasnt making sense.