Ntv

Birrionaires here complain that a salary of 70k per month is too low… watch a feature on NTV and see the money some people in this country earn ., damn!!!

Mimi sina tv bro

Jamaa ameng’olewa mlango banae…

reta rink

Huyo landlord ni mtiaji sana!
Kama huyu kijana hakosangi kulipa previous months then mtu huwa na roho ya utu bana!

@Mpenda mtu usifeel degraded na iyo salo yako.in this country people who earn that are less than 30% of the working population

Link

Aking’owa mlango unaweka curtain na unaendelea kulala … kari kí

Most kenyan jobs salo ni 35k for graduates 70 k is a very good salo in kenya.Ukifikiria hivo unaona heri ukuje kwa trump uoshe tu shosho ama uendeshe truck but unapata 6000$ rahisi.Dignity vs realism.

Boss nani atakupea $6000 in US uoshe shosho ?

$18 an hour 16 hours a day 30 days

16 hours a day kushika mafi si unaeza geuka ukuwe mafi

You have sanitizer, gloves and a mask.

Unalipwa usd6k salo unalipa rent 3k, bill ya stima, maji na gas 3k unabaki na deni ya kukula… Heri nichonge Mawe ndarugo ama kayole…

Stori za base zitakuharibu

Ujanja ya Kenya, however small your salo, tricks ni kuepuka lifestyle traps… mshahara ya Kwanza ifunge mahali yote, mambo ya kupigia mwili pole utafanya na passive income… Sio kukula jasho na damu yako kama mshenzi… Kula matunda ya jasho yako… Panda jasho yako kama mbegu mahali

Sema ukweli bill ya rent stima na gas mangapi?.. Nasema gas ya mapishi… Tunajua maisha huko ni credit card debt

You have a nice car, a 3 bedroom house with a white fence, a dog, free healthcare, no dust… How can you argue with that.

Huko Eldoret kuna tenant landlord alitoa roof yote…