NTSA.... TF!

Kwani how do things operate nowadays. President gives directive, vijana wanapata kazi, investors wanawekelea pesa zao kwa biz, miaka kadhaa zinapita then out of the blues, ndio mna realize that hizo graffiti hazikua within the “regulations”. Watu wakue serious for once

4 Likes

Nowornder leo sijaona Hotstepper(sp) ama zile mat hukimbia ni kama zinatoa chafya

2 Likes

Shida ni uhuru kutoa amri bila kufuata mikakati iliowekwa. In other words, the order appears nowhere on paper. The president has a habit of making pronouncements ovyo ovyo

1 Like

@virus, swali nyeti ni, since hio directive, why now. From where i stand, nikama hawa jamaa hawajui kazi yao. Hizo gari za ntsa hu ply thika rd every other time. Unataka kuniambia hazijai kutana na TMT ikitoa chafya as @Deorro said

Other than the graffiti, I feel that it’s good riddance to bad shit. Izo mat zilikuwa zimezidi

Mimi sioni shida na graffiti.

sionangi kitu ya maana na hizo ma graffiti kwanza zenye wana weka vitu obscene ama vitu za upuzi zenye ni meaningless… apart from maybe employment for the artists… so no love lost…

choices have consequences…

i really hate hizo za kupiga chafya,its a nightmare kuishi karibu na barabara ama stage,weekend hata huwezi fuata movie

2 Likes

There is a big ugly bus along Thika road that whose exhaust sounds like a screaming human being …it scared the living daylights out of me…I thougt I had run over someone

5 Likes

Matatus relax one rule and they will ignore all others…anyway The hizo fines ndio zinahitajika ku endeleza inchi hakuna hela serekalini

NTSA wana upus… Speakers zinangolewa na hammer… Leo nimeona hii Kenya fanya kila kitu usiwahi kua mnyonge, kuna nganya ya Rugei inaitwa Catalyst, gare ni ya sanse mkubwa… Ilishikwa leo, ikapelekwa stenje bila story… Acha gare za mtu hatambulikani zishikwe, plates, lighthouse na speakers zinapigwa nyundo aisee

Chwaa! Chwaa! Na muffler ndo hobby hii ya NTSA ni moto ya makaratasi! Wanajua ni kulenga tu

Matatu owners everywhere.

Following …

wewe ndiye ulipiga mat yangu na nyundo?

1 Like

what do you mean hakuna pesa? uliona wheelbarrow ya 109,choo ya 11million,fountain pen ya 80k dollars. pesa iko mingi na ni ya mama yao

ntsa are flat-track bullies, graffiti won’t kill no one, mat iko na hewa pia you have a choice not to board. Vitu wanafaa kucheck Ni roadworthiness, safety measures and safe driving, zingine Ni fart in the wind.

2 Likes

The problem is when guys are given freedom, they exploit it without limits…I have no problem with some graffiti or some music, problem comes in when the graffiti & music is “parental advisory”…

Serikali itandike wao kabisa.
Madaktari walitandikwa, walimu wakatandikwa, kina keroche wakatandikwa, kanisa inatandikwa… Si kila mtu apewe viboko tukue equal :confused:

1 Like