NTSA Police working on different wave lengths.

Hii ngari imetoka Mbooni ocha kwa kina @Mutheu, imepita numerous rd blocks na cops wakasema na kuthibitisha imecomply, lakini kukaribia jiji, hehehe, eti toeni stickers zote kwa. Guess at the next rd block they will find a reason to arrest them. kitu kaa tyres ziko under inflated.
[ATTACH=full]209014[/ATTACH]
@123tokambio pole, kuku zako zitachelewa kidogo

Btw some baggas will allow stickers on the upper part of the fixed window, other jingas zinashika mathree juu ya hio. You wonder kwani ujinga haikuji ndani ya sufuria moja?

What concerns me is the load on the carrier.

kuna pesa mingi kwa carrier kuliko kwa abiria

hapo ni mBellevue

99% of the cops manning roads don’t know what the traffic rules say.

Siku moja kuisimamishwa hebu jaribu kuambia afande matokeo ya hiyo research yako… :wink:

Atakubeba akuwekee charges funny sana. Most cops are scum. And most kenyans have that culture in them…it is now normal all systems are dying or already dead. Hakuna kitu kama fighting for integrity as a country

Traffic cops ndo wanasabotage hii operation …