NTSA Driving Test

Wadau tomorrow I have a date with NTSA, I’ll be undergoing the driving test.
What do I need to look out for? Hiyo exam inakuwanga aje and what is usually the probability of passing it?
Halafu nikipita I want to buy a manual car, so please advice me on a good manual car (light vehicle) which is reliable and affordable.

This is kenya, money talks

Tayarisha 500 ya driver, he will take care of the rest

Remember to release the hand brake yourself not the assessor.

Hio yote itadepend na mood ya instructor,ratio ya madame kwa machali (more females the happier the guy),nani amechoteana,time unafanya test…unaeza ingia kwa gari ukose ku adjust rear view ,ama theory uulizwe kitu ujibu vifala uchujwe. But kitu naeza ku advice ni pale kwa table wanakuaga na umama mingi,do not swap hands,verbalize your intended moves,hold the car by the back doors ama utaambiwa unablock side mirrors…its true,watch out for ‘dropped’ pens on the board pia,ukifikia uulize what kind of obstruction it is…usiitoe mwenyewe. If all that is not doable,pigia instructor wa shule na umchotee kakitu alafu kajina kako katawekwa blue tick kule mbele. Ingia youtube ,kuna video mob za test day.
Thank god back in my days ilikua unamaliza class alafu unaendea DL after a week.
Good luck mujamaa

I actually just did my ‘exam’ today.Still can’t believe it.Sisi hatukufanya NTSA hq.Mjamaa wao alikam Driving school yetu akatuuliza swali mbili: Priority signs na rules of MTB.Hiyo tu na kumake 3 point turn.I was pretty underwhelmed cause nilikuwa nimesomea hiyo exam kama ghasseer.

All the best.

Listen carefully and answer confidently. If you attended all theory and practical lessons well and revised you will pass.

Where did you train?

They do this to be unpredictable. Keep practicing as only through experience will master the craft.

I trained with AA

Which school is this? Hiyo 3-point turn maze

This is new to me, so how does one navigate around such?

True.The good thing is the instructors never asked for ‘kakitu’ ndio wanifundishe vizuri.2

Africa Road watch Defensive Driving.Before tufanye exam alisema all of us would pass the exam.Nashuku iyo driving school inachoteaga examiner kakitu ndio wapate good reviews

Angalia vidz za Bro ochilo pale YouTube,anajua kuexplain MTB.But usually ni 3 parts wanatest ;MTB(kuendesha toy car,rules, features) Traffic signs and kudriive like 20 meters.Expect general knowledge questions also na trick questions kama gari iko na miguu ngapi?Pia ujue number plate ya gari watakutest nayo

Ask before commencing . Anything out of the ordinary on the table is a trap

Most driving schools today do the bribing to ensure pass rate iko chonjo (CV). This is a discussion you should be having with your driving school instructor. Na yeye akule za mecho.

Pia driving test unataka kuingia na mwakenya?

Hapana jali, utapita. Hata drivers experienced huku inje ndo wanavunja sheria kwelikweli. Mimi nakumbuka afisa akiniambia “leta hiyo gari ufikishe hapa” while doing the table test. It was like kutoka waiyaki way ufike Integrity center. Nilipeleka hiyo gari polepole kwa hiyo table. Afisa kuuliza namuambia….I’m keeping left na niko speed ya 50 juu ni tao - Alicheka tu. What I mean ni kuwa na confidence.

Sasa after kupata DL nilinunua gari second hand kwa msee pale Kenya Cinema. I entered the car….no “L” sign, nikaitoa town bila wasiwasi hadi nyumbani Thika Rd. Keshoye, niliamka na kuenda nayo job Westy. I still have the same car. Huwa naangalia hiyo gari nacheka tu because the first year nilitusi watu wa hooting kwa barabara.

All the best and be a responsible driver. Tafuta Toyota.

Hapo sawa elder, advice iko na license

upusu tupu:D:D

nlisomea driving school ya mwarabou Malindi…
practicals nlienda mbili
swali mbili direct kwa meza
kwa road niku start gari, kutoa handbrake na kumove 10 metres ukiendanga:D:D

gari mwarabou hakufishi alisema mtu akanunue yake akajulie kuendesha mbele

Kasee mbona ulichange profile pic.Hehe,kwani Admin alikufinya makende?