Nowadays, aggrieved customers and business people are resorting to murder more than ever to get justice

Ile squad ya kuambia watu na customers hakuna mahali utanipeleka after changing the terms of the deal, you better watch your back because more and more Kenyans won’t waste time with civil suits or official arbitration mechanisms to get justice.

From family feuds arising from inheritance, and land ownership, to business deals gone sour, our weak justice system has unwittingly created alternative outlets to dispense justice and many people in business fail to appreciate that some people don’t fuck around more so when they feel ““wamembebwa ujinga””.

I bet most of us here can randomly point out several murder incidents that were linked to suspected business dealings gone sour.

True true… Watu ni kurukana in deals and or ill treatment with their fellow man. Kwanza hiyo comment ya “hakuna pahali utanipeleka” or “na hakuna kitu utado” is a very hazardous comment to yap ovyo ovyo. Generally with the gradual loss in humanity in us all there are numerous people who are now borderline repressed psychos… Unaongea hii shi£ randomly after genuinely shafting someone unaona amenyamaza tu my fren… Murder Inc is alive and well 254

Give us atleast one example to complete your thread otherwise this is purely anecdotal

its true and i support it. impunity must die the old testament way

Do you live in Kenya?

Rusheni “hit list” yenu tuongee biashara.

Mimi tangu niwe member wa buyer beware ndio nimejua binadamu ameoza. Mtu anakurusha life savings na bado anakutusi. Police/DCI badala ya kumkamata bado wanakukamua. Hapo sigwes blame mtu aki-engage hitman. The thing with con men is that they simply never know when to stop.

Leta examples otherwise ni rumours tu.

Obado.

Man Kuna time I was rearing broiler chickens jimama linguine likatoka hapo nyuma ya Roast house ile barabara Keekonye something likaja home likaniambia ni supply kwake. Since zilikuwa zimeflood nikamshow haina was lakini kwanza nijue mahali butchery yake iko.
Mi kuenda nikapata place ilikuwa Sawa butchery imeshika kushika na stock ni ya mbuzi, ngombe na chicken confidence ikarudi nikamshow azikujie all 300 of them.
Kikaniambia yeye hupeana post dated cheque ya 3 weeks nikaona Hapo sio bad deal juu options zilikuwa chini.
Kidogo kidogo 3 weeks zikaelapse nikajua basi kesho ni kudeposit cheque, asubuhi na mapema kabla niamke nikaona message ati kwanza nisideposit account haina dough, nikampigia simu akasema ni drop after one week nikasema haina worries lakini ma redflags ndio hizo. Nika Ngoja hio time week ikaisha nika enda nimeideposit tu kama fuckin. After 3 days ndio huyo nikaona nipigie huyo dame wangu WA Sacco kumuuliza kama niko mdosi au udosi ni ya Yesu tu huko mbinguni.
Akanishow wewe ile ujinga uko nayo hata shetani amekukataa nitafute Cain tuwe tunazunguka planets juu huko hata cheque imeruka na niko na 1500 penalty ya kuwachezea na kuchafua account. Nika enda nikaichukua na kulipa hiyo dough kwa hasira sana. Nikakimbia huko Keekonyie Street nikapata huyo mama kibonge kama zile momo za rexxubwa nikamwambia kwanza alipe zile pesa zangu za penalty akainstruct nipee.
Nikamshow anipee dough zangu ama nifanye kile nitafanya. Sasa ubaya sikuwa na hizi namba za hitmen hata saa hii msiniombe Sina mimi sio jambazi sugu. Akaanza kusema oooh kazi iko chini nikamshow a whole month aliuza stick yangu mimi anilioe na ya mwingine. Nikatoka Hapo na hasira nikamwambia Nairobi ni ya sisi wote. Teke Teke hadi Central nikapata karao kwa Ob kumpea statement tukaandika akanipea OB number. Kumbe huko ndio extortion point, akadai nimtafutie thao mbili nikasmuuliza ni ya nini akanishow pesa humulikwa na ingine. Ndio huyo nikaenda huko nje nikamtolea kwa Mpesa.
Arrrggh stori ni mrefu lakini tucut the story shot, mama tukamuenxea tukamkosa akapigiwa simu akaambiwa aje central kesho yake. Akaja akalipaa nusu in cash bado polisi wanazihemea ati tugawanye half half juu ilikuwa unaenda anyways. Akapeana two weeks zingine tukapatan bado huko cental same procedure na bado karao wapewe zao. Kama uko na hitmen mtu akileta ujinga kulisha yeye copper kama karao hakusaidii kwani.

@TommyLeesparta alivunja msee miguu yote mbili. Hekaya iko hapa somewhere

Hii dunia uki apply redpill concepts in every aspect of your life kugongwa itakuwa rare sana…

Sikupi example. Toka kwa nyumba ukatafute.

Huyu jama anafikiria Dafton Waitiki aliamua tu kuacha gari akajirusha kwa dam never to be seen?

Hizi examples ni miingi boss.

Hajui Dafton. Anaishi jikoni

Kevin Omwenga suspected gold deal that went sour, as well as the three men from Thika who disappeared without a trace on their way to make a business deal. All these happened this year.

https://www.google.com/url?sa=t&source=web&rct=j&url=https://m.youtube.com/watch%3Fv%3DsQfq8ybAmQ8&ved=2ahUKEwiqp5370YvtAhUTSxUIHf6dAYcQwqsBMAB6BAgNEAM&usg=AOvVaw35hVui5Qu6qcHejlEdZXwJ

If you watch vernacular TV stations reporting on the Thika case, family members are outrightly admitting suspicious business dealings that could have caused them to disappear.

Wah

@thesavage and @Touchlyrics you see my probing has managed to get a good hekaya from @negrowegrow…even @Muthafari himself has finally given us some hekaya…some flesh added to the thread. Ktalk is better off when people back up their stories with some evidence otherwise we treat them as hekayas.
@Simiyu22 has also provided another example…an obvious one which a thread like this should always make reference to.

Good riddance to bad rubbish

heshima idumu…