Now that ktalk is dead

Ktalk mharo. Alternatives to ktalk ni gani? Hii chinese takataka imejaa huku hakuna mtu wa kufagia so toeni maoni wapi villagers wanaweza tegea mpaka hii place irudishwe hali yake ya kawaida.

Billionaires tuchange two hundred kila mtu tuweke kijiji mpya.

https://www.lipstickalley.com/ , Lakini ni ya blacks from Africa and diaspora mostly.

I am soon launching my own kijiji. Watch out for this space.

Kijiji iko shonjo my friend…

:D:D:D:D:D
Si jana tu ulikwa unaomba pesa ukisema uko stranded town

Uliachia nani key ya server?

Deal iliiva na SAA hii mfuko iko Sawa.

msande ilitoka, Mtajua toffee ni Nani, alifukuza mpaka gashwin

Kuwa mpole gathee. You are being considered for Moderator posishen.

Please don’t…am begging u. Please

@patco humbwer khasia fukuza pia Mimi mshoga Mzee firwa kinyambis bila kusumbua.

Msee wa D niaje? Mbona ukali hii yote mapema hivi?

Hawa watu hawana shukrani after Meria Mata ajitoe hii kijiji imekuwa ni siasa za America na antichina.

:smiley: midget umeona nini?

With or without the whoring truck driver, the drunk mechanic or that retired english teacher, the village still stands.

Waende wakikaukanga. Brare

I am missing some talkers here. Like guka has been quite silent. Gashwin pia ni kama hayuko. Damn the village is slowly its culture. Kutoka hapo 2016, it has slowly been going down.

Mukienda muende bila kutusumbua

@gashwin Ni mafi ya umbwa

Anko Ile Kijiji yako kwani ilikufa.:D:D

si ukali ni ujinga