Now I Understand - It Makes Sense

The Story Beneath The Story

[MEDIA=facebook]10158488880189058[/MEDIA]

The Club In Question

[MEDIA=facebook]id=472600891719531;type=video;user=100063465673753[/MEDIA]

Enyewe wanakaa kulima mtu seriously

Pombe manze ni hasara what is the fun in being in such a dingy small space at night

Ukijipata ukiuliza hii swali, that is the first sign that umeanza kuzeeka…
kikikikikkkikikikkk…
Next utajipata ukiuliza watoto “huyo ni nani? ni mwimbaji ama ni wa sinema?”

Haujakosea nimezoeaka na sikunywangi