Nottingham Forest vs Newcastle Utd

Wah! Referee Martin S(hit) is out to finish Benitez’s quest to reclaim Premier league football. Halftime with two men red carded. So far they lead with a solitary goal from Matt Richie; but will they be able to hold on to the slim advantage? Second half on the way…
[ATTACH=full]70942[/ATTACH] [ATTACH=full]70943[/ATTACH] [ATTACH=full]70944[/ATTACH]
Both penalties missed by Arsenal ‘legends’:D:D:D

2 Likes

Nimeenda live bet

Ukawekelea nini? Newcastle sio team ya kuchafuliwa bao mob; unless ref aongeze mared zifike tatu…

Nimepea notingham win… Last weekend newcastle walichapwa kwao na blackburn

Meanwhile in the Serie A Inter wanakula kichapo bila majibu…
[ATTACH=full]70948[/ATTACH]

[ATTACH=full]70950[/ATTACH]
Na stream hii game mos mos pale mobdro…nagonjea bao ya icardi

1 Like

Manze hio game ya Newcastle na hio ya Nap v Int ndio zitanimaliza. Nlikuwa nimeeka Caen-Dijon GG, Mainz-Bayern GG, Nap-Int GG, Lierse-Antwerp GG, Maritimo-Benfica GG, Newcastle win.
Lakini tuseme tu nishaungua na hizo red…

1 Like

Hehehe… Izah mimi Ni mtu wa ma singles siku hizi… After game ya Hanover nimewekelea benfica Alafu livebets za napoli(gg) na nottingham win…

Na Inter ni meffi tu. Hata kamoja hamna…Befica pia imekaziwa but 2nd half bado mbichi

Inter Napoli gg? Una roho msee… Game ya Newcastle nimecheki, nlikua nimeeka over 1.5… Referee wa io game ni mavi, amekataa bao moja ya castle plus aliwanyima penalty in the first plus two red cards and a yellow card to the keeper in the first half… Lakini uyo keeper ni noma, anaokoa Pena mbili kisha to add insult to injury the winning goal ya Nottingham was an own goal o_O

1 Like