Not Bad for 2 Days Work Ha!???...

Ndiyo kufika!..
Been Busy since Saturday night and it involved driving through 3 Countries lakini it was worth it.

Just Don`t tell the ex-wife!.. kikikikiii…
(and this is minus Costs)…
Naona @uncle nyam na Haters wengine wakinyongwa na Ki-Waru Already!.. kikikikii…

[ATTACH=full]36761[/ATTACH]

Kwani hata wahindi wa stoke wanawalipanga cash?

3 Likes

Ksh Equivalent ?

1 Like

hizo ni pesa ngapi???

Hizi ni kama zile bob mtu hurudishiwa kama change huko.Kikikikikii…Peaseant.Can’t relate

700 pounds

kshs. 100,920

2 Likes

[ATTACH=full]36766[/ATTACH]
Tuanze hapa @kasaman

1 Like

Inakaa ulibeba Syrian immigrants Kikikikikikikii

6 Likes

hehehe three countries Hungary ------> Austria ----------> Germany

2 Likes

Expense ya gari?
Kwani hiyo biashara huleta mangapi?

Range 265259-328232 ksh
[SIZE=2]I could be wrong though[/SIZE]

Kabuda niaje, na unifanyie favour… niandikie jina yangu hapo ni flossie mtu kidogo prissss… uandike hivi ’ Jinga hii Atis’ :smiley:

3 Likes

UNARINGA NA NOTI ZA TEN BOB NA TUKO NA NOTI ZA THAO KENYA

3 Likes

Hio nikama KES 1m, zilikua chini ya mattress lakini since 1990.

1 Like

Sio mbaya buda, lakini wengine wakaanika zao za 6 hours work si utachizi

6 Likes

Not bad indeed.

[ATTACH=full]36772[/ATTACH]

Do you work at the mines by any chance? :D:D

10 Likes

£710 x 142

1 Like

Mine sweeper okay. I can see what you did.

1 Like

£20 note is the Highest denomination of money in UK to most people.
Nimeishi huku miaka mob niliona noti ya Finje a few months ago.
Tafakari hayo!..

1 Like