Nose Worms

Was going through videos about sinus on youtube then i came across this

https://www.youtube.com/watch?v=I424JPylex8

Wueh !!

https://www.youtube.com/watch?v=GnRw7rdepGg

wacha tu

[ATTACH=full]168497[/ATTACH]

Why did I come here! o_Oo_Oo_O

si nimekwambia uwache hukunisikia. by the way i never watched them myselef

Nini hiyo inatega mayai huko? After watching that suddenly I’m itchy all over

he he…si wewe ndio umeona? [SIZE=1]na ni kutaga[/SIZE]:smiley:

Ah sasa umenirudisha hapa. :mad::frowning:

Hata nimewacha kula watermelon yangu juu inakaa kama hiyo throat

Hiyo nilionelea nisione pekeyangu.

I thot only sheep have them

Not only sheep but also humans.Thats just one type kuna zingine zinaitwa rope worms.

See above.

Na venye watu hukula kichwa ya mbuzi mpaka macho:D:D:D

Kondoo huwa na zingine kwa brain, kuna vet. hapa atuambie hizo hufika aje huko

kwanza ukikata horns za mbuzi before uchome kichwa zinatoka.

…kidogo unapata wazee wakisema ‘tombo’ wa mburi kana Ngo’ondu ni mambo yote.

Muthee anga we nduri kinyiria?

do people eat that stuff? i thought when you split the head before boiling you throw the tombo away…at least that’s what i do.

what???