Noise Pollution Nairobi

Terror

https://www.youtube.com/watch?v=ewxZ3Xtljps

1 Like

Cayole tunaishi ndani ya quarry na hatusumbui .

1 Like

Naskia ulitoboa na drill Keja ya ekwete bank Jana usiku?

1 Like

Heri kelele ya walevi kuliko ya sheeple

7 Likes

In your Sh20 million house na huwezi lala.
Because some idiot has to praise & worship

Hapa watu wanataka nyahunyo vi serious

punguza unono kwanza .

Ango USHAMALIZANA NA THUTHA YA TRUMP SASA UMEANZA KUWINDA YANGU SINDIO?

Those churches rake lots of sheeples cash to “buy” their place hapo.
Dini ni sumbua yet they always emerge winners in such complicated cases.

Hakuna njia ingine, ni kutafuta watu wathreaten hizo ng’ombe zikienda church usiku. If possible, break the lead pastor’s leg, hiyo kelele itaisha automatically.

6 Likes

Kilimani etc are glorified slums

@Acoustic Siwes ! I don’t miss any of this.

1 Like

I think the best solution ni residents pia kwenda Ku create equal disturbance kwa Kanisa kama other worshippers. muwe wengi na muwasumbue kabisa hadi wabeg then you set ultimatums.

Sisi watu wa leafy suburbs tunasumbuliwa na paka wakidinyana huko nje.

4 Likes

:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:

Mbirrionaires ‘team no neighbors,house in the hill with the acres’ tukae wapi?

si peasants wa ongwaro tunasumbuliwa na kelele za nganya…mapararira asubuhi na mapema

Yeah, kama kupasua speakers na shoka. Because the incompetent NEMA officials are unwilling to help.

2 Likes

Wewe hujui unasema nini. You are just commenting for the sake of it.

There are so many kiosks poping up on the walls. Hopelessly overcrowded. Traffic mess.

I know you live in an SQ in Kilimani.