Nobody can stop reggae.

This is a subjective opinion but this man was the GOAT in terms of reggae music. Especially his background singers hawa wamama. We were truly robbed of a musical genius. [ATTACH=full]468536[/ATTACH]

Meffi

Murphy.

Lucky dube, Don carlos , Bob marley na singers wa roots n culture ndio natambua . hizo ujinga zingine ni ushenzi

Usisahau akina Ijah man Levi, Dennis Brown, Jacob Miller, and many more. Roots reggae ndio kusema. Pia lovers rock za early 2000s ni kali sana…akina Glen Washington, Sanchez, gregory isaacs, Amblique, morgan heritage, mickey spice, lyoid brown, marcia Griffith, richi spice, luciano. Reggae ni tamu aise

kama freddy macgregor hayuko kwa list hiyo yoooote ni mnyambo ya punda.

Apa umenichanua mzito. Hii wikendi ni youtube.

Unajifanya cool kid, wewe na Kamene goro hamsikizi reggae.

Nilichoka na lucky dube akililia venye ati life ni ngumu

Wewe hujui reggae basi ango

Rootsy rootsy ndio natambua :smiley: