NO MORE DRINKING

Sasa leo itabidi tuende home mapema juu hakuna kukunywa tena

Wewe sio mlevi kama unaacha pombe ju imefungwa… Yako ni peer pressure… Mlevi ata EABL ichomwe lazima akunywe… Mimi hujiundia ratish kejani

Tafadhali saidia na hio formula azande zana in advance

Ile kitu itakuwa gumu ni kupata izo matunda… Tafuta matunda ukipata kujia formula

Wacha uchoyo matunda itapatikana essential ya ma rory mpaka isaidie

Uchoyo iko wapi msee?? Sina mingi zenye naweza kugawia… Sasa itabidi uzitafute alafu mimi nikuoee formula… Tafuta tu matunda za ratish

I endorse that directive.

Ng’ombe zingine kazi ni kukunywa chang’aa na kunyamba ovyo ovyo!

Matunda za ratish ndio gani tena chokoch?

Leta formula. The last lockdown I was processing my alcohol from pineapple fruit plus the peels.

Hehehehe konyagi is cheaper than brewing

It is difficult to effectively restrict drinking with a corrupt enforcement regime. Many senior police and politicians own bars.

:D:D… Zinaitwa tu ratish… Izo ndio main character kwa process ya kuunda ratish

Depends on what you are brewing… Wewe its either you have money or you are just lazy

This is an art passed down the generations.

Depends on whether matunda zimekauka… Lazima ziwe zimekaushwa… Kukausha, unazipasua tu unazichemsha alafu unaziweka kwa jua zinakauka kabisaaa… Alafu weka kwa container kubwa, chapa maji moto ndani, weka juice ya miwa, weka asali, weka sukari, funika io kitu ikuwe tight than a virgins pussy design gas haitatoka alaafu uiweke mahali kuna joto sana… Inaiva na siku tatu kama joto iko sawa na umezimix sawa

Pombe mutaonea viu sasa labda uendee ustock makejani leo

Mzinga ya konyagi 43% is just 500 bro

Hio 500 unaunda 12L ya ratish

Muratina si itataka honey?

Oh yes… Niko na mtungi ya asali thats why I dint consider that