NO EXTENSION of Huduma Namba listing exercise

NO EXTENSION of Huduma Namba listing exercise after Saturday, says Interior CS Matiang’i; adds that 31 million people registered so far.
[ATTACH=full]237555[/ATTACH]

i have 5 kids under 6 years…i register myself and the 5 kids.those aare 6 people.my wife registers herself and our five kids.serikali inasema tuko wangapi?

[ATTACH=full]237557[/ATTACH]

hope you have made up your mind on which country you will be deported to

Hehe . wameregister wengi kuliko kura? Alafu kenya 60 precent are adults? Ama watoto wanapewa.

Wadanganye toto Jinga. Hizo numbers are nowhere near that.

I am not registering for that nonsense mpaka niambiwe itanisaidia wapi.

hawa watu wanatuenjoy. hehehe.

It will be extended sure bet…leteni odds

Hapa the government failed flat.

  1. The government failed to sensitize Kenyans on the benefits of having Huduma Namba.

  2. The flow of information has been very wanting. Ooh sijui no services if you don’t register, ooh it won’t replace the id and you’d need still number all those other documents… So much misinformation

Yep. Vitisho na uwongo(31 million) ndio the modus operandi.

I have always doubted the 50 million figure am sure it’s always added a 10 to 15million…hio ilikuwa messed up wakati Wa nusu mkate…that census was a fraud.

arafu sasa juu wameeka deadline…does that mean no more giving birth … ama any newborn inakam na huduma number stamped already??

still sjachukua i dont what force will take me there

Even the coming census will never have reliable figures !

hii huduma number wange combine na census shit thats cumming…hii story ya kuenda kupanga line na bado msee ako tarmacking ya kusaka hustle wacha ikae…

Embassy ya Kenya in Berlin wamesema tuende tuchukue hio Huduma number nkawashow wajitombe

Shida ni ile siasa hungiizwa ndani…instead we collect a correct figure to help in our planning… Lakini wapi!? They look at the allocation watakula wana jaza server na ghost “watu wetu”… Hii inchi mrogi alitutenda.

Niko kiserian kwa ofisi ya public health which is nxt to the chief’s office wasee wamejaa uko.

At this rate utasikia Kenyan population imefika 70mirrion

Mimi kwanza nimeamua sitahesabiwa pia…revolution mdogo mdogo

KITAELEWEKA. HATUCHUKUI.