*NLIVOWEKELEWA PANGA BARIDI KWA MATAKO KISAUNI* A THREAD

Mi na mwanangu steve twatoka angalia game hapo lights, Checkpoint accommodation, kawaida ya masela steve yuko jaba vinoma. Taxin yangu nshatema manake chelsea kapoteza Mechi, Kisa na maana siwezi kupanda Taxi.Mida ni ya saa mbili kasorobo. Aste aste na mwanangu steve. Hivi kwa zare au niseme Nuksi steve kapigiwa simu, dogo Jay kasema fomu ishajipa. Jay alikua katika chuo cha TUM. comrades wa tum huwa wapenzi wa dhati na kisauni (nyumba ziko kwa bei rahisi sana kule) Nkamwambia Steve tuchukue honda au bajaji ituweke pale manake ni chwani tu (kshs 50). Akakataa akasema ni karibu tapiga corner moja tu baada ya kupita msikiti tuwe tayari tushafika. Kiguru na njia Steve yuanipa story za jaba huku nmeudhika tunpoteza mechi. Jay kapiga simu tena.“Oya vipi mwaja au niite wasela?”. Jamaa alikua kapata mzinga mbili kwa bei ya kutupa kutoka kwa mateja. Mi na steve tkapiga vichochoro hadi msikitini, pale mna maduka Steve kachukua pk, nkachukua lemonade na coke moja(chasers). Wanangu Kisa chaja.Tukapiga corner na fimbo, tukajipata kichochoro cha hamnazo. Mbele nkaona malaya wawili, kidogo nkaona msela yuachungulia, akaregesha kichwa kisha nkasikia “NALO”. Nyuma nkasikia “oe simameni hapo”. Mi na steve instincts za uwoga zkaingia (mbio sasa) kabla zianze wasela wawili. Wamesimama mbele panga mkononi. Nyuma wawili pia mmoja na slasher mwingine na kisu. Mwanangu hapakua na kutoroka. Nkaangusha machasers. Steve akapiga nduru “Waaai tusaidieni wanatuibia” Panga ikatolewa steve akaekelewa mdomoni “kumamako piga nduru tena uone”.Steve= mtungi wa maji. Akaporwa kila kitu, kwanzia pk hadi jaba. Nkafika mmi, simu yenyewe nlikua nnaacha mtaani ikicharge, pesa nayo nlikua nmenunua chaser. Mhuni 1"mbona we msenge huna chochote?, toa simu kwa makende au tuitoe wenyewe". Nkamwambia mi sina chochote, chaser. Kisha wakasema nisubiriWakasema kesi yangu ni kubwa manake sina hela… Wakanongonezeana. Mmoja katoa simu, mwenzake akasema “mpigie abu msenge”. Mwenzake kasema yuaeza kua mbali. Wa mwisho kasema “Handsome boy huyu, pigia abu msenge nnamwacha maskani” Kama wajua mbsa basi wajua maanake. Mbinde laja. “oya abuu vipi, njoo hamnazo 1 kuna mrembo yuataka tibiwa”. Handsome boys mjuage nyi ni warembo on the other side . Mwanangu nlianguka kwa magoti zao nkaanza walilia. Mi hukua ndume na sishutuliwi na lolote lakini kwa mara ya kwanza nlililia mkundu wangu. Humbled.La ilaha illallah nliisema mara mingi nione kama watanionea huruma, lakini kumbe pale ni kisauni sio huruma. Steve akaanza nicheka, jamaa alifinywa makende akalia kitoto. Abu msenge akawasili. Wote wakaanza cheka. Akafrahi vijana wake wamempa connection. Wahun watatu wakanshika.Sweat pants yangu ikateremshwa. Mwanangu sngekimya tena nlipiga nduru za kike. Nlitetemeka kama mlevi ambaye hajatoa lock. Abu msenge akatoa chuma, yule akishaona tako basi. Mfukoni akatoa utelezi, glycerine kama skosei. Chuma cha pelekwa na utelezi. Akapaka chuma utelezi. My virginity was on threat. Nainamishwa huku najaribu kujinasua. Steve akashikwa akaambiwa “we mshenzi lamba huu mkundu”. Steve ni mwanangu, alisema “afadhali mniue, leo mtaniua”. Abuu kachukua panga, huku nmekausha tako vinoma. Steve alipigwa ngumi ya uso akalala kifundifundi. Nkageukiwa, panga mkononi, chuma imesimama “waangalia nni, legeza mkundu wako kubabako”. Msenge akanishika tako, nkatetemeka kama generator.
Kisha akasema “huyu mkware anatako ngumu sana, yualala chini huyu. Tena msenge hanyoi spendi mavinywele vyake” aAkashika panga vizuri, nkajua mmi mtanitoa theater kama sna matako. Akanigusha panga kwa tako… Mwanangu panga baridi kupindukia… Karibu nizimie, akasema “unabahati leo sina hamu, ningekufira hadi uzae” akawachilia panga chini akaondoka, wenzake wakamfuata.Ile mbio tulitoka pale! Nlikumbuka kupandisha suruali kama tuko kwa jay. Mzinga nliipiga flash ikiwa conc half way nkableki. KISAUNI INA WENYEWE WANANGU.

We will not judge you if you were DFHKMBLBHNKN na faggy thugs:D:D:D[SIZE=1]isweya[/SIZE]

good thread

:D:D:D

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D dead

:D:D [SIZE=7]alafu it’s mattacore , kwani hujui ngeli[/SIZE]

:D:D:D:D:D:D
One of the funniest stories ever in this forum…
:D:D:D:D:D

Akapaka chuma utelezi. My virginity was on threat. …:D:D:D:D:D:D:D

Nani mwingine kajipata akisoma hii hekaya kwa accent ya mombasani:D

:D:Dmimi.

Mimi apa. Alafu ikifika apo kwa Steve= mtungi ya maji unaweka accent ya Baba :smiley:

:D:D:D:D

Legeza mkundu wako, Kubabako! This bout to be my new curse words on here…

We mshenzi… Lamba huu mkundu. :smiley:

:D:D:D:D:D:D:D:D:D

Why am i laughing

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

Haiyaa kumbe digi unajua kusoma kiswahili…:D:D

kuna mrembo hapa yuataka tibiwa :D:D:D:D:D:D:D

hata sikuwa nisome lakini design mmecheka inabidi