nko kwa nyoka na sisumbui

[ATTACH=full]95942[/ATTACH] Shoti ya saba sasa na bado… venye sijui ni kama ni kwa ndume ingine but ikikuja tutamenyana tu.
[ATTACH=full]95943[/ATTACH]

Chapa nyoka hadi ikufe

Mwenye anataka safisa maso mkono yuu

2 Likes

Ziko wapi nguo zake juu maybe ni handbag umetoka kusnatch sa ni nguo unabadilisha

7 Likes

evidence ya nyoka…

Salimia hiyo nyoka.

Some men never listen to wazee.

Unless 1) she is your wife or 2) she is your longtime girlfriend, never ever go to a chic’s house and undress. Bad things have happened to men like you.

16 Likes

Learnt this the hard way, ni vile tu jamaa alikua very civil, but transformer ingewekwa chini, the odds were against me.

13 Likes

Lol… hekaya ikwom

5 Likes

weka hekaya mblo…

3 Likes

hekaya chap chap mblo

2 Likes

Nyumba yenye huripi,washana nayo…Nareta hekaya after ranch

Mi naona tu nguo za ndume…hapa hakuna nyoka. Pengine those little green mambas we use to see in coffee plantations…

3 Likes

Wekelea hekaya

Vile watu wanasema hapo juu hekaya chapchap

1 Like

Sai anapika ngoja akirudi ntapiga mbisha.

Some years ago I used to dryfry this hot yellow yellow. One Saturday she was working late and she passed by where we were having pints in town with some cop friends. She promised to be back in around 3 hours and to prove that she was acting in good faith, left her house keys with me. Past 11pm and with all of us totally plastered, I called her and she said she wasn’t done yet and I should proceed to her place and she will be dropped later by company transport. We drove up to her place without telling my friends what I was up to. Kufika nikajifungulia a small side gate to her house ndio nikaambia majamaa, kwaherini tuonane kesho. The left grudgingly.
I entered and fell asleep on the sofa, chic came past 1am and I ramnyad and left the following morning after breakfast.
Later in the day I hooked up with my friends lakini ile msomo nilichapwa wacha tu.
On of the cops who was a bit older was the more incensed one and told me… ‘mimi ni askari na siwezi jaribu hiyo ujinga ulifanya. Hivyo ndio tunaendaga kuokota maiti za wanaume wameuliwa kwa nyumba za wanawake’.
I never did anything that stupid again.

17 Likes

Omwami weka hekaya complete tunjangamuke.

Sai nko bedrm na recharge mdogo mdo go. [ATTACH=full]95959[/ATTACH] [ATTACH=full]95960[/ATTACH]

,saa kumi ilifika omwami,wapi hekaya?