Sasa nimepandishwa cheo hadi nimekuwa bouncer SAA hii tips nitakuwa chukua vibaya. Kukula ni sufuria mzima.[ATTACH=full]121948[/ATTACH]
6 Likes
Do you know njoguini got closed in mfangano street? Now you know
Tuko hapo annex
Kipii ni kipii tu
1 Like
wacha umeffi
what is the name to that green thing in your meal?
In Jongu-ini terms
Avocado
Jinga kabisa…wewe waeza fanya mtu atapike hata matumbo !!!
3 Likes
Kihii naona unataka kunona… Hadi Uko na whey
2 Likes
Kihii yaani unataka uanze kuitwa mzito sasa…natambua hiyo supp anyway.
1 Like
Haha, and you are back.
Shipoto
mwana mwega no NDA. jenga mwili brasle
you really like that …
Na io combination si utasuprise minyoo zifanye demo