So I got to my gicagi at about 4 pm yesterday and as expected majamaa wa gicagi walikuwa mungetho hapo kwa stage on my way home, ilianza na kuwajenga na 500 wagawane watu kama 5 hivi, leo asubuhi kuamka wamejipea kazi ya kuosha gari(wasnt that dirty to begin with) na wanapalilia maua za nyumba, nikapeleka mathe soko I know hizo vitu were overpriced, tangu lini cabbage ikatoka 40bob ocha? Jioni nimeitwa kwa @Wakanyama niwanunulie supu na keg. What are the interesting ways unatoanishwa ocha kwenu?
Waambie ukweli ati wewe ni msoto kama wao
Hawaskiangi, watu wa gicagi hawaaminingi unaweza kuwa Nairobi mwaka mzima halafu uende gicagi bila kakitu
Ocha kwetu mavijanaa wamejiwaste na pombe kazi ni kungethia tu kwa market wakiomba 10 bob ya changaa , if they were to approach me wakiomba pesa 2 hot slaps and a sweep is what they would get
ISR - Individual Social Responsibility. Wasaidie if you can.
Mimi nikuulizwa “sasa form ni ipi?” au “sasa unaenda aje”
ukianza kuitwa mkubwa,mdosi…boss …mhemishimiwa …Jua leo wallet lazima ipungue
Hio upuzi siwezi entertain mimi, kila mtu na maisha yake bloody nugu!
Kwanza it begins with mutogoria matuko maigi uhoro wa kiamatawa iiih, mifago…
And they smile gleefully wakikuona
A cabbage goes for even 60bob in those places you call shags. We are breeding like rabbits is why
ile mpya nimeskia ni “Governor”
Nrb Ksm or Msa yes but not the slopes of Mt Kenya ni sababu mama mbogo sokoni anakuangalia anaona hii jamaa inatembea gicagi Christmas
Shining their @Wakanyama eyes
What will happen if dont give them money?
Utapewo 2 hot slaps na sweep with niceness ya @Jirani
Hehehehe kavana
Mimi hufika na kublend in hata watu hawatajua nilifika. Ubaya unashuka stage watu wa boda boda wanakuja ni wale ulikuwa nao same class. Hiyo time wanakuita majina zako zote. Unapanda unafika home anataka kukucharge pesa double unaulizia mbona? Eti watu wa Nairobi wako na pesa(hata kama ulikuwa shule) hiyo time anasmile vile @Wakanyama alismile akipopeleka @Jirani kitisuru… So form huwa kufika na kublend. Mtu atapitia shamba letu apate nalima ama navuna ashangae Deorro ulifika lini n am like ahh nimekaa huku sana.
that works for me very well
Mimi huwa naawachia hata ngiri kumi