njaanuary

Ktalk mirrionaires mmesota kaa mimi…
[ATTACH=full]27017[/ATTACH]

5 Likes

Mambo mbaya… Mimi siku hizi ni:U. S. A!.. jaza initials!

hehe usijali hiyo kama unaishi pekee yako inaweza kulisha wiki mzima

Ni January Kweli. On Friday I took some kachic to club at aroung 6:30. We were the only ones in the club so she asked if we could switch. I convinced her that there would be more people coming in as the night wore on. To my suprise the club was still empty some minutes to midnight. This is on a Friday night where normally you cant get a seat at 8p,m. It was a shock. Kwani how do people spend their money in dec? How do you spend all your money in a span of 2-3 weeks. Hio ni Ujinga.

Depends ni wapi…mimi naona in town zodiac to be specific watu wanakunywa kama kawaida #panatambuajanuary

1 Like

Nikutoka waks umekunja mkia direct mpaka home

kabisa ukitaka protein ni Mboco ama unanunua yai moja nyama ungoje February

lakini mutura ya mbao ama kumi inaeza okolea pia

5 Likes

:D:D

1 Like

I have seen this picture before… ktalk csi kazi kwenu.

Nishaanza kunywa KC na Konyagi, normally mi huikunywa around 26th to 30th.

2 Likes

wacha ifike apo date 19 ata soda watu watadilute

1 Like

Si Tuko sawa na haturingi…Pesa Iko…

[ATTACH=full]27032[/ATTACH]

Si Tuko sawa na haturingi…Pesa Iko…

[ATTACH=full]27032[/ATTACH]

:U. S. A!..
Ugali Sukumawiki na Avocado

1 Like

Sio makosa ya watu mzeiya… Imagine most guys are paid Dec Salo na ka bonus around 20-24th,then guys go for holiday of around 10 days, by the time Inafika Jan 5th ukishalipa rent you realize kumbe Jan iko na 5weeks

No

Omena ndio zanguuu tu hii Month

Naona uliamua kuvunja karimu buda.
Wengine kaa sisi bado tunasherehekea ngaji ya 13th month.
Dec comes with double salo.