njaa

Ile time hauna pesa ya lunch njaa huanza kukusumbua kabla hata umalize kula breakfast bana

hehe…na vile umeweka avatar inakaa kushiba

hapo ni Ile siku uko na kakitu unatesa nyama

looks r deceiving…

watu hii Nairobi wanavaa suti na shida wako nazo huezi sema ama tule tudem hudunga ni kama wanafanya KCB bank na kumbe anafanya works pale kwa mpesa

Ama saa ile uko pahali hakuna choo ndo unaanza kuharisha…

el oh el

:):slight_smile: kuvaa vizuri inaleta confidence

so true

Confidence on an empty stomach. Well, thats new…

I believe the context here was “shida”, not to be taken literally as “njaa”.

Mrudi mashambani wazito… huku kwetu njaa ni taboo, tunaisikilia hukooo… sasa acha ni rudi kwa hesabu ya mbuzi.

Ukienda Facebook page ya “Buyers Beware” ndio utajua hizo pesa ni za kukopa.

Kula air baga na utulie