Akina Njugush wanapanua midomo left right and center ati ile roadi pale Mombasa hafai kuitwa Fidel Odinga Rd lakini w mastreets in Kenya zikiitwa Mama Ngina Drive ama Uhuru Highway, kule kwa mapoko kunaitwa Koinange Street wako sawa. Pale recreational pahali watu urelax wakaita Uhuru Park. Mbona njugush and family mna shida na Fidel Odinga Rd…ama mlikuwa mnataka iitwe Jaba Kenyatta Road…Kwani hii Kenya barabara zote zitapewa family moja?.pan tambua
[ATTACH=full]29263[/ATTACH]
Si hiyo bedford (i stand corrected) ni kali jo. I can imagine if i got one ya kuflosss tu nayo mtaani. Hakuna kubeba hata chokosh kwa bed yake…
Jina Uhuru highway imetoka kwa Kenyatta? Chokosh ni chokosh tu,
i honestly couldnt care what they call that street its just a name…lakini sasa hawa kina mwas na njugush wana chuki sana na baba mpaka ata sasa imekuwa umafi
Hiyo Bedford wachana nayo… Na kumbuka nikienda driving school nayo… Sema no power steering
Hehehe…unasimama na stearing na bado clutch inakuinua…
I just love those classics. Kama ningekuwa na cash serious ni kutafuta kaMitsubishi kafanyiwe full restoration
[ATTACH=full]29280[/ATTACH]
Si poa kuanza kupatia barabara zetu majina za ma useless chokosh.
Ata afadhali wangeipatia jina kama Obama ama Raila. Sasa huyo kijana amefanyia nini Kenya, tena alikufa akiwa mlevi aai
Ametajirisha joho,
Who was Fidel? ???
Achaneni na fidel iseee… Babake amesema atatake care ya hiyo baro:kumwaga maji, kurepair, kutrim grass, lights and lots of stuff
He was just a useless chokosh.
These schupid mungikis think they own kenya yote…washenzy sana
ok. now i need your advise.
im in luv with a mungiki and he wants me to take his name as if i am a road! how can i convince him to take mine instead so i can make him my road?
[SIZE=1]rod?[/SIZE]
U need a rod?
Hata mimi simesei huyo chokosh. Ule namezea ni ule wa Cuba.
A chemist naming a road after one of his biggest customers
Alikuwa anatumia?
Hiyo sio Bedford. Hiyo ni Isuzu zile wakikuyu huita igogo - d’know what the firk that means. Ni kama ile ma prison warder walianguka nayo halafu dough yao ikakulwo na mkikuyu mwingine.