Nitumie fare

Sasa veterans itabidi mtuambie what you do njo msiitishwe fare na hawa warembo wa tinder na tagged juu najaribu most of them wanasema nitumie fare so am imagining if I send that fare to almost five women it would be almost 1000 c nijaze tu hiyo pesa ninunue viatu zingingine ama ni restock fridge ama nitumie mzazi pesa

3 Likes

Mwambie utalipa nduthi ikifika not before

2 Likes

I always offer to pick them with my car. Obviously some refuse but the genuine ones have no problem

1 Like

Naona sasa umetoka ile stage sasa uko kwa another stage na sio mbaya. Pesa yako itumie kujibembeleza. Feel good. Dem unamptia thao, anatumiwa thao na watu kama kumi, jioni atakuwa na thao kumi na wewe budget yako iko less na thao.

5 Likes

Hio 1k ingia Burma uchukue beef kilo 3 kila kilo na bone marrow yake uweke kwenye friji

5 Likes

You are broke and you don’t deserve puci in that condition. Look for money first.

4 Likes

Mimi najua value ya pesa I don’t send money anyhow kama wewe if am not benefiting why waste money

2 Likes

Mtu anafaa kuwa na ngapi to deserve pucci?

1 Like

Me too…i offer to pick them. Akikataa i abort the mission. Na kama ni mbali sana namwambia akwachu uber i will pay on arrival

3 Likes

Mbona utume fare na kuna calabash. Meffi beta simp

1 Like

Calabash ni ya machokraa afadhali liddos ama bavon

It’s not how much you have but how much you are willing to spend on pleasure. If you can’t budget 30k per month for pleasure then you are still at the bottom of the pyramid.

4 Likes

unakula nyama ya punda

Niko na plug nyagus zake zinatoka ranch ya ilbisil kajiado direct

1 Like

Mbona unaenda kutafuta coomer kama haujanunua kiatu, hujajaza fridge, na haujajenga mzazi? :green_emoji:

3 Likes

Ask them to drop their pin… Order a bolt boda… Then meet her out of your house 1st…before muingie ndani ya nyumba

1 Like

Wait, 30K budget every month to bed whores?

Say this is a joke, brathe tukue serious kiasi banae. I’m totally flabbergasted.

Basi I am a poor man :grinning: :grinning:

Maisha ni fupi mtu yangu

Ata naona nikama Sina pesa ata ingekua elfu kumi ningtii

1 Like

Is this rungu washing budget alone ama includes other things like site seeing and shit

1 Like