Nitatoboka A maximum 200k cash

i got a small bro mwenye amemaliza campo juzi. the guy hasn’t received his cert, so anatategea hadi next year feb.
today he approached me akiniambia nimsaidie kuingia either cadet or specialists. now the problem is sinanga connection kwa watu wa jeshi. anybody who can help? 200k ni zako. My hope is nipate msee anaweza mwingiza kwa specialist, hana cert but he got a letter of completion.

Unaongea ni kama hapa ndio black market hehe. Success in your venture.

if you can’t help kalisha makende

hii ujeuri ndio Aukot alikuwa nayo. lakini all the best.

wacha wakubwa wafike kwa nyumba wakuje wanisaidie

The chances of you losing that 200k are high as fuck … utalijua jiji.

Easy…ata 200k ni mob sana no need, 25k itatosha. Are you free on Monday between 11am -2pm? If you are enda pale Lornho Steakhouse, pale kuku zinafanya sama kwa window. Try and shove that 25k ndani ya matako ya one of those kukus, if you manage to do that bila chef kunotice, bro wako ataingia Cadet bila tizi ata, direct uniform na badge of honor.

Sasa 200K ni ya nini ?

Unasema nini yenye hatuelewi VILLAGER

NASEMA…hio kidole unatumia kutype nayo, ingiza kwa booty umbwa wewe!

[ATTACH=full]264842[/ATTACH]

my friend if you not understanding the post, don’t bring unrelated stories here. nimesema vizuri specialist ndio na prefer, na kwa specialist lazima you apply sio kama hii ya kuenda uwanja. so lazima ujuane na mtu ndio ukue shortlisted.

hahahah hii yote ndio kichwa yako imebeba

The guy is slow. ako na akili mzito

Why bribe when you can put in the work and get it for free?

i see your point but hii ni kenya mzae

Ndio nimejiuliza pia. Talk of UhuruRuto dragging the country down on their own hunh??? with 200k you can start a biz for your bro ama umulipie more education.
Kenyans yawaaaaa.
BTW are you not the same guy who wanted to bring a former employers’ computer network down a while back because he did not offer you a job?

Wacha ujeuri

He can set his bro future with 200k

This is how we end up with unqualified persons in charge of our security… if shit happens you will be the first to complain oh sijui serikali yet you are the problem.