[FONT=arial]Mr Nyerere pamoja na mazuri yake lakini alikuwa na mabaya pia likiwemo moja la kutuachia katiba mbovu ya kijinga ya 1977[/FONT]
[FONT=arial]Uzuri baadaye aliona hatari iliyopo aliposema ile katiba inampa mtu mmoja mamlaka makubwa mno na siku moja akitokea dikteta
akaitumia iapasavyo tutakiona cha moto.Maneno yametimia Watanzania tumejipatia jiwe lenye roho mbaya linalofurahia mateso ya watanzania,jiwe linalojiona Mungu mtu linaiba hadi trilioni 1.5 na halitaki lisemwe,limezungukwa na majitu yanayotumia vyeti bandia na majina bandia yakiporomosha mahekalu huko igoma na kujenga hostel za kisasa huko ibanda mwanza yakijifanya eti ni mazalendo kumbe majizi
Jiwe linatembea na hela mfukoni na kugawa kama pipi kwenye mikutano ya kiupuuzi,jiwe lilitodudanganya eti wazungu wamekubali kulipa dollars 180 billions kama fidia ya madini,so pathetic.
Nanunukuu maneno ya mwalimu nyerere ambaye bila shaka kwenye vision yake alikuwa analiona jiwe hili bahati mbaya kafariki kabla ndoto yake mbaya ya kuishuhudia Tanzania mikononi mwa DIKTETA haijatimia.Nyerere alisema…nanukuuu…[/FONT]
[FONT=arial][COLOR=rgb(184, 49, 47)]“kwa hakika ninyi waswahili wachache mnategemea kweli kuwatawala watanzania kwa njia ya vitisho wakati hawana matumaini na matarajie wataendelea kukaa kimya kwa amani?Amani ni zao la matumaini na matumaini yanapotoweka kutatokea machafuko ya kijamii.Nitashangaa kama watanzania hawa watakataa kuasi,kwa nini?..watakuwa wajinga,mazezeta kama wataendelea kukubali kukandamizwa na wachache katika nchi yao,kwa nini?”[/FONT]
Jiwe mweupe sana yule jamaa ndo mana anatumia sana dola km defence mechanism
Wanaomuenzi Kambarage maneno yake ndiyo hayo!
Nadhani kambarage alijutia sana jinsi alivyoiacha nchi. Kazi kwetu sasa
Max, Jamiiforums founder anayokila sababu na haki ya kuikana Jamiiforums iliyopo hapa Kenyatalk…
Hataki ushahidi na kesi za wana Jamiiforums waliyo na hasira na mambo yanaoendelea nchini mwao…
Cc: @Mahondaw
kwa Tanzania hii sijui kama hicho kitu kitaweza kutokea…trust me nchi hii ina wananchi wajinga dunia haijawahi shuhudia
Wewe umeisoma Katiba ya nchi??
Katiba ya Jamhuri ya Tanzania ya mwaka 1977, iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2005, ibara ya 18(1) inaeleza wazi kuwa “kila raia wa Tanzania anayo haki ya kutoa maoni yake kwenye chombo chochote na Uhuru huo haupaswi kuingiliwa na chombo kingine chochote” mwisho wa kunukuu
Kwa hiyo ujue huyo Magu anatumia mabavu yake tu kuhalalisha hayo ayafanyayo lakini anajua wazi kuwa anavunja Katiba ya nchi
Huyu tuliyenaye ni hatari tena sana. Haogopi kupoteza mtu iwe kwa kificho au uwazi. Na hapo bado, tutegemee vifo vingi sana, mitandao itaendelea kuzimwa, ukionekana na sare ya upande wa pili masaa 48 yatakuhusu, kwenye chaguzi watatangazwa wale atakao wahitaji yeye.
Mkuu hivi hujui kama katiba yetu imetupwa chooni tangu 2015? usijipe moyo kama una uhuru wa kutoa mawazo kama ungekuwepo sasa hivi usingekuwa unaishi huku kwenye kambi ya Wakimbizi mkuu…
Well said
julius nyerere anasisitiza watanzania wasikubali kukandamizwa na jiwe,ni jino kwa jino,linafikiri litaendelea kututisha kila siku
Tanzania hii yenye wananchi wengi waoga na wasiojua haki zao naona hilo haliwezekani kirahisi…labda tusaidie
Japo katiba yenyewe inampa mamlaka makubwa ya kufanya atakalo, lakini bado anaisiginya hata kwa ile nafasi ndogo tunayopata ya UHURU WA KUJIELEZA. Mda si mrefu itapitishwa sheria ya kumwabudu jiwe baada ya kuona kumwombea haitoshi.
YAJAYO YANATISHA.
TUSISAHAU PIA ALIWASHAURI VIONGOZI WENGI WA CCM KUWA WASIJEKUMCHAGUA URAISI MTU ANAYETOKEA UPANDE WA ZIWA, YEYE ALISHAURI MARA NYINGI RAISI ATOKEE MAJIMBO MASIKINI NA YASIO NA MAENDELEO MENGI, NA MAKABILA MADOGOMADOGO. ALISHAYAONA YA KENYA NA AKAWEKA NIA YASITOKEE TZ
[FONT=courier new]Siku hizi inahitaji kuwa na moyo kama wa ’ Mwendawazimu ’ ili kuweza kuamini kama Kauli zingine ni kweli aliwahi kuzitoa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere. [COLOR=rgb(184, 49, 47)]Naomba niishie hapa tafadhali.[/FONT]