Nissan xtrail diesel nt31

Leo nimetoka mission na getaway car ilikuwa xtrail diesel. Hii gari ilikuwa ilikuwa inapeak vizuri na ride ilikuwa smooth kwa highway.

1 Like

6 Likes