Ukiwa na pesa, na unataka supercar, tafuta hii. Ubaya hii Kenya hakuna barabara unaweza ipush to the limits viproper
3 Likes
Really bad roads here, kitu ni kuhama Kenya alafu ununue hii gari na ubaki na change
1 Like
Kule Ujeru kwa Autobahn Mercs, Porsches, BMW and Italian masins do this everyday. The crashes are also terrible
2 Likes
Gtr ni gari ya new money majuu.