Uzuri wa homa unabuy sukuma ya juzi unaboil bila mafuta unakata ugali ukidhani ni managu. Kabla mlale niombeeni mapua yamefungana!
pole. hio flu inakuja kwa fujo sana imenilaza kwa nyumba siku mbili sijaenda job. lakini cetrizine na antibiotic zimeniokolea kesho niko up and about.
Flu mambo mbaya.
Mbwa kunywa ARV na ulale
:D:D:D:D:D
Wewe Mwisi wa avatar ya @wakandeba @Wakanyama na other wakaas…
iza mblo
Just getting out of it.
It’s been a miserable week.
Wewe cheka tu
:D:D:D:D
Nothing gets me down like a flu!
Ni mbovu kwanza ukianza medication ndio unakuwa mgonjwa double
When i learnt that, the cure or protection to most diseases is eating well…ive never looked back nor complain of illness.
I see…but how exactly
Mwalimu (?), say this after me: flu vaccine. There, thank you.
You might wanna consider it next time. Ask your regular healthcare provider for further details.
Thank you Sir. i wont forget again.
Cetrizine manenoz?
sijui kama ndio huwa cause but immediately nikianza meds joints huuma, joto/baridi, halafu siku za kwanza mbili usingizi ni delirium mpaka unaeza amini una-left