Micymas babako Leo anataka kukuja Kwangu na summer Bunny ako kwangu what do you advise
Mbona uko na mkono kama ya pengtin
…unaona gani tena kaka mtingiza? Hio ni rangi nili inherit ya Mathe.
Sioni shida ya huyo mrembo
Mtingiza anona zake buana, anakuwa na mawazo potovu
Simchomei lakini unaona Patek ya rifarori. Huezi vaa patek na same scarf ikue twice kwa two random photos. Alafu sio silk scarf, kama ni silk it can appear twice or thrice
Hehehe…kama ako hio ligi, unafikiria mimi niko ligi gani?
What’s her name?
@Maize_Combuster kuja Ina ndume iko na mkono smooth bila scars
Why would ewaste time on a girl who bought a 4 million shillings watch. Do you imagine she bought it herself. That’s a male watch she’s wearing from a MANNN. Commonly known as MARKING TERRITORY
Well, wacha nioshe rungu kwa amani elder.
Look like she’s got several suitors anyway so carry on…
You need to be easy like your pop you way too serious.
Anaitwa wambui na ako na gari KBS na anakaa ngong
Hivi ndio kijanaa hufika 35 bila meno anawekwa dentures anadanganya ati alipata accident
Face longer than a Monday
Kama umeanza kumshuku mapema hivi, abort mission! Hamuendi mbali