kama ulimpata kama sio vajo…hio pesa kula tu mandazi. Wacha kumfanyia favor.
Akuzalie watoi wanakufanana watatu wakiume ndio akuolifae kulipiwa mahari hata kama ni mbuzi utapeleka. Usi waste pesa… alafu kama ni huyo utakuwa una cheat tu. Utashindanga SJ ukiosha macho.
Ni macho hauna ama ni taste yako iko mbovu ivo?
Si pia uangalie umbo na sio matusi. Tafuta kitu inatosha kwa tabia na maumbile. Maumbile ni muhimu sana.
She looks like she keeps hizo specs mkiwa mechi…not bad
Weee…uko sure huyo okuyu wife wako hajakupikia steel wire leo. Huyu mrembo ako sawa.
Below average kaka, hehe ati steel wool. Sina mali mingi ya kufanya nilishwe steel wool.
Wacha kudanganya OP pris!
Kaka, OP ajaribu kuwa na squad depth then a-decide nani ameweza kwa tabia na umbo. Huyu amemkukubali and that does not mean she’s the one. Samaki ni wengi saka your dream girl.
MEN make a mistake ya ku marry the one who accepts them. Tafuta kitu wewe utakuwa proud kutembea nayo. Kama hupati what you want, pris do not marry…
YOU wonder why majority of married men hushinda SJ wakiosha macho…ni juu walioa that woman who accepted them. Desparation ni mbaya sana.
Verdict: Not approved. OP atafute mwingine na alete hapa for approval.
Na si goal ni kuoa yule mwenye anakupenda kuliko venye unampenda??
You either learn to love her or go to SJ.
Kabisa.
You should osha elders mesho na hio mungiki wife of yours mwenye you are so proud of. You are slowly drifting to being a simp.
Wacha elder afuge. Kama haitamsaidia, itasaidia kijiji ya kwao.
Kipenda roho hula nyama mbichi.
When I started making a couple of shillings kwa muhindi i went after a beauty from the murima side. Ile stress niliona. There’s even an official in the jambazi govt who tried kuniosha. Sometimes hawa simple chics give u a piece of mind.
I agree. We need to see that woman.
Lakini you know one thing about non Kikuyus marrying Kikuyus, they feel like they’ve won the ultimate prize.
They’ll praise those women na mostly they are usually just ordinary Kikuyu girls.
@Yuletapeli is a kikuyu man married to a lightskin curvaceous kikuyu woman whom he found a virgin after he cleared university akambeba juu juu akamfanya wife
Now he is a dad to two boys and a fleet of matatus …“so he says”
Kama haja salimiana na elder. Tumia Father in law kakitu Kwa mpesa
Hapa unasalimiana na @Baby_Panay
Wanafanana na ile lanye bubu niliona jana pale VIP…
Anaitwa Lydia?
anakaa familiar, but sijui nimemwona wapi. Or maybe she just has one of those faces that look familiar.
Anyway, vile elder amesema hapo mbeleni, tuoshe mecho tuconfirm. weka number pia
Utapenda mtu amekupenda yes, ndio maana I will insist on squad depth. Keep the players who want to play for you, wale hawataki wanaweza enda.
Mimi ni waria kutoka marsabit