nakosa usingizi juu ya stress. sina job. niko 22 . niko na Diploma ya IT Nimejaribu all avenues lakini si0ni mwanya.Nime apply job mob bt to no avail. Bado na stay na parents na wananisumbua ati toka uende utafute kazi. Industrial area ndio naenda sai lakini najua kama jana and all week itakuwa kupigia mhindi (mbuzi)guitar. It’s like watu huko wanajuana. Imagine umepiga line from 6am. Kampuni zinafunguliwa 8.30 na watu walikuja late ndio unaona wanaitwa majina. Nifanyeje sasa. Lakini wacha nioge uso niende uko but meantime kama kuna mtu ana kibarua inbox yangu iko open. Asanteni
Just hold on utapata kitu
nimekuwa on the side lines btw nilikuwa naogopq kujoin hii forum juu watu hapa ni wadosi and i feared being insulted
Gecko asante sana, hata kazi ya kufyeka nyasi sijakataa.
Mwanaume mzima hawezi lala juu ya stress ya kuwa jobless
Kuna jobs za commision based anza hapo
wapi hapo? nianzie wapi. Nichanue brejin
Huku ni cyber cafe attendees wamejaa. Usitishwe.
All the best in your hustle.
hao cyber cafe attendees wako poa kuniliko. End of the month wanakakitu na mimi sina, Hata sina manzi. Manzi yangu ni right hand nikicheki mapicha zenye huwa posted hapa ya kutoa strss
Keti =======…p… ama wacha tu
all the best…
You’re just 22 years, usijitoe roho juu ya kukosa kazi… Hata hivo morale kijana.
asanti
ungejua ni vijana rika yangu wangapi wamekufa. confession nilikuwa bad boy kitambo…lakini nime reform. tuko hapa wengi lakini wanaogopa kujisema. Wengi wao wanatafuta jamaa anaitwa hessy wa dandora. Naskia ni member huku. Kuna mapicha zinatembea huku
@kush yule mnono kuja kiasi.
NIAJE JIGRANNY
thought so too…
Hes so predictable.
UOTP
I’d say you jumped too soon
Ngoja uone ‘cheza chini’ na matusi
The best you can do is what you are doing now. Keep hustling, keep searching, keep asking for help juu job haitakupata home Be open with people you meet na utaona mlango ikifunguka. Opportunities come to those who persist in what they do.
Boss at 22 nilikua napeana flyers za Safaricom modems na tariff offers Kwa roundabout pale uhuru highway. Hapo ndo nilianza steps zangu za sales and marketing. Sometimes it was too tough hadi mimi hiskia kulia niki imagine mahali nimetoka.
Try microsoft dynamics implimenters in kenya.Likes of CoreTec systems and Solutions,Surestep Systems and Solutions na Attain Systems.Na upeleke CV in person.