Sijui ni za nani, nimpe nani @administrator ?
[ATTACH=full]443854[/ATTACH]
[ATTACH=full]443856[/ATTACH]
Rushia mimi jugdaniel tukiendelea na investigeshen
Ni za shetani hizo
dere wa tours and travels tunajua umelipwa banae
cheza chini
Cheza chini ni lugha ya wakora na wale wa @150
Tuma till uwache stress
40k si pesa ya uringa nayo enda ununue mitungi nne za salit 20 litre uone vile utatoa machoooosssss
Rushia mimi hata mbili pale Mpesa tafasali.
Money is always beautiful. Hata ikiwa 1 bob ama ile noti ya 50 bob yenye imepitishwa katikati ya vidole za makanga, bra za mama mboga, na wallet za watu wa mutura Hadi ikazeeka in one year. Always a beautiful sight, money i.e.
Hii kijiji time zake jo!!!
Nirushie kakiru woiyee