I think you all remember a small “HEKAYA” I dropped here few months ago about my first wife Carol vile alinicheza kama [COLOR=rgb(61, 142, 185)]VIOLIN [COLOR=rgb(0, 0, 0)]? So through coincidence nimekuja kuona story ingine wazim. cuzo YA mine Na wife yake wanaishi along Thika road. They have been together for 3 yrs now Na Wana watoi wawili. So sometimes I visit them ndio tuexchange Gari. So last month NIMEENDA kutembea NIkapata kuzo hayuko. Wife ya Cuzo akanikaribisha Na kunishow ako Na beste yake [SIZE=5]CAROL [/SIZE][SIZE=4]kwa kitchen wanapika Chapo. So nikaingia Na kujiseti Kwa kiti Na kuanza kuwatch ESPN. Chapo ziliiva Na kuletwa Kwa meza, Caro kufika waaaaaaah kumbe Ni kunguru nilikua natambua ju tumewahi ishi Kwa Apartment block Trm drive but akahama. Wakati Carol aliniona alijifanya hanitambui Na Mimi pia nikajifanya. Wife ya Cuzo Anafanya introduction *********"[/SIZE]
[COLOR=rgb(0, 0, 0)][SIZE=4] Tukidishi nikakumbuka Niliwait mgeni hapo Trm Carol alikua Na relationship Na bwana ya wenyewe na pia alikuwa anaishi Kwa hio apartment block. Carol akapata ball ya huyo jamaa Na akazaa. So Carol anaanZa kublack mail huyo jamaa oooh. Daily Carol Na Bibi ya huyo “bwanake” walikua wakifight. So Kimonye the Carol “Husband” akamhamisha place ingine. So nilikua suprised kuona Carol Kwa hio nyumba . Wife ya Cuzo aliniambia Carol Ni neighbour Yao nextdoor. After a week hivi nikaamua kwenda Ku unwid Na pombe Kwa my favourite joint 1824 na some few friends Na kuketi karibu Na entrance. Pombe ikashika Na nikaamua kuenda gents. Nikipanda stairs niende juu napatana Na CUzo akanigotea. Nikirudi downstairs kumbe Cuzo alikua ananiwait. Akaniuliza Niko Na akina Nani Na akaamua kutujoin. Cuzo alikam Na Yule Carol. This time Carol hakujifanya hanijui Na kusema oooh alinijua nilipokuwa Kwa Cuzo oooh story mingi OOOH. Nilichuka phone Na kuanza kutext Cuzo Kisii. Cuzo akanishow Caro Ni side dish yake. [/SIZE]