Habari za muda huu wanajamvi,
Mimi ni mtanzania na hupenda sana kufuatilia minadala mbalimbali kutoka tovuti mbalimbali…
Kuna mtazamo mmoja nimeona niweze washirikisha sababu ni moja kati ya visababishi vinavyotuweka pamoja wana Afrika Mashariki na pia vinaweza kutuyumbisha kidogo.
Kenya ni nchi nzuri, Yenye jiografia nzuri na watu wazuri wenye mawazo mazuri pia.
Kenya ni nchi nzuri, yenye siasa nzuri na mchakato mzuri wa kutoa maoni za wananchi.
Changamoto kubwa linalokumba wakenya wengi ni chache kama niliyochunguza kwa wakenya wengi…
Wakenya wengi wanapenda waonekane wenye nazo. Mijadala mingi lazima mawazo ya mkenha utayajua… huonesha kama ni tajiri, nchi ni tajiri il ahli ni walewale.
Wakenya wengi wanapenda kuponda jambo… huwezi kuta positive comment from a Kenyan
Wanapenda kujilinganisha… seriously Kenyans like competition…
Nilichokiandika dont it take personal, ni opinion but if you are not part of the negatives big up… but if you find yourself in please make a change.m please try to see the light during darkness.
We are one!!