Nina swali

Watanzania .

Niambieni maana ya Aiseh Na babkubwa

Tafadhari

Aisee! Its the following skills in conversation which happen when one is interested, excited in conversation. Example “aiseee…kwa hiyo mkala wali na biriani?”

“Babkubwa” sometimes used as salutation which means it’s fine, great and cool…it can be used as answering salutation…when one says niaje…your answer should be “babkubwa” sometimes it used as ways of expressing the how big situation or event is.

Excuse my English… Kiswahili Ndio lugha nayo imanya vizuri sana.

Naombeni ule wimbo wa babkubwa.

Aiseee!

Ahahaha!! Aiseee! Si mchezo ndugu. Yaani nimejitahidi kufafanua hizo phrase mbili kwa umombo sijui kama zimeelekwa.

Mambo ni babkubwa?

Mambo ni byeeee mzee!

Nimeona umefanya upembuzi yakinifu kabisa kwaasieelewa arudi shule tu

Safi sana si unajua nyani haoni kundule ndo maana nimekuwa na hofu ya kutoeleweka.

But kama umeapreciates basi maandishi watakuwa yamekaa poa.

Pamoja sana chief

I see!..

Aisee!!

pia aisee inaweza tumika kuonyesha mshangao.

Simu nyeusi kabisa.
Ipo.
Ndio

Aiseee from i see