Nimeuza shamba ya kitengela

Elders I have finally sold out the plot I bought in kitengela while I was a manager kwa hoteli ya mzungu.
It has not been easy adjusting out here since I left that job. What I used to make in a week that’s what someone wants to offer me as salary in a month na makelele mingi ikifwata. Sikua nmezoea ivo.

Jamaa nmeuzia ako kwa army, I can say it was a good deal. I have sold out with an extra 300k so siwezi lalamika. Jamaa alikua amebeba Doo kwa bag nikakataa sichukui cash, i figured out someone can easily slip in some fake notes. Instead i proposed he pays me through my SACCO. We went to the branch Sacco and he made the transaction. He has paid 3/4. Whatever remains he will clear once we through with paper work.
[ATTACH=full]466856[/ATTACH]
[ATTACH=full]466857[/ATTACH]
[ATTACH=full]466858[/ATTACH]

Huyo kunguru customer care ameanza kusmile smile aki giggle nkachukua number. Huyo ntamkula weekend

Unauza shamba kitengela bei ya njugu??

Nipee hio pesa na utabarikiwo

Not his fault. Priorities.

Sisi watu wa oldmoney hatunanga hizi mashida ndogo ndogo …

Salva Kiir nirushie 3k sijakula siku 8 bana.

Says a fool in his little bedsitter.

Letea sisi follow up ya hiyo kunguru ya sacco

Chunga hio pesa isitoshee kwa kuma ya huyo kunguru. Hio shimo humeza gorofa mzima :D:D:D

Na usikose kufanya sheria namba one.

After a dry streak touching paper can be southing and exciting but only for a day.

Bei ya njugu ndio ngapi

Sheria number one ndio gani

I want you to find out…

Weka hapa elders wajifunze pia

invest hio pesa . vile unaongea mbaya ati pesa ya wiki huwezi fanyia job.

punguza pride ujue maisha ni tofauti . vile nakuona utakunywa hio pesa yote

Ni kama nakujua.
One of the new owners name begin with letter B

Nimekuskia elder. Mimi nikama ruto, I rarely take alcohol. Maybe kukulana

So tufanye aje tukufe ama

S

Saa zingine wewe hutumia akili

Omera hata nikue juu ya mawe aje kuna pesa huwezi niandikia eti salary. Na hii sii theory. I have been out of employment for years but kubebwa ufala ndio nilikata. Nimesota mara kadhaa but employment has always been out of question.