Nimetoka gym..Bed tyme stories with kihii kiaganu

Hii weekendi ya end month lazima threshold ipitwe. Nilikosa omulette ya asubuhi lakini ni Sawa. [ATTACH=full]91038[/ATTACH]

4 Likes

Ulisema ukatiwe nyama ya kupelekea paka sio?

12 Likes

Hio rwabe itatosha dish na fare kesho?

Mtu mnono tulia nikukamulie bibi

Kindly take us round the house, lol.

5 Likes

Fare ni 20 pekee

Dymatize… Excellent choice.

1 Like

Hiyo nyama ni ngumu kula labda uguzisheguzishe ugali ukikula na mboga.

1 Like

Kihii you live to eat coz no matter the heading all we get ni sahani ya food ama kikombe ya chai?

2 Likes

Hio pia ulipikiwa na maliar?