Nimeshikwa elders

Kuna items za UG zimepatikana kwa gari.wamekataa Doo wanasema lazma nifike kotini kesho.

Kama ni kwa boarder huna bahati. Iyo lazma ni sukari

Pole Sana brother. I hope they don’t extort you unfairly

Beba lube…[SIZE=1]just incase[/SIZE]

Ume.import za nyege nyege by any chance?

Kra ama regular cops?.. Kama ni regular cops lazima wata hukua pesa at last

Bw. Chifu itabidi upige telephone waachilie Jura.

Jibu hii swali tujue vile unaweza saidika

@ChifuMbitika umeongea na PA wako?