Nimerudi na nimesoma hio thread yenyu yakutuingilia askari wetu eti wezi. Jamani mwache fitina. Tumewakaribisha TZ na kama mwaleta wezi, basi lazima washikwe. Wivu ndio mnao, makampuni zatoroka huko juu ya tax kubwa na kuja huku. Eti nyinyi supapower. Mnanishangaza kweli. Juzi Juzi nimejitupa kibandani kwa mama John mkenya, Dah!! Chakula ni makarapia la uhai. Jifundisheni kupika kwanza. Jukumu la bwana nikufundisha mkeo walah si usenge.
[ATTACH=full]45391[/ATTACH]
Hii chakula kweli!!
[ATTACH=full]45392[/ATTACH]
[ATTACH=full]45393[/ATTACH]
Kujeni na mabibi zenyu tuwafundishe kupika chakula chenye nyama za minofu na wanga
[ATTACH=full]45394[/ATTACH]
[ATTACH=full]45402[/ATTACH]
Too much cholesterol, yuck! Kenya was athe first with Nyayo buses tukaona hiyo in upuzi. Sasa wacha tutengeneze infrastructure we make it easy For doing business.
Kenya na Ethiopia wameandikisha kontrakti kabambe sana ya kujenga paipulaini, tena mbili!!! Kamwarifu mugfool ya kwamba, Thu NDIGUAGA HARIA YAIKIO(samahani, hiyo ni Kigiriki bwana!)
[ATTACH=full]45397[/ATTACH] [ATTACH=full]45398[/ATTACH] [ATTACH=full]45399[/ATTACH] [ATTACH=full]45400[/ATTACH] [ATTACH=full]45401[/ATTACH]
i had decided to ignore you for reason(s)
i think this would be a classic example of number last trying to compete with number 1. we feel not threat with tanzanian overhyped growth in anycase we wish you all the best. we clearly have come to understand that your neighbor’sgrowth does in no way inhibit/reduce your chances in life
i find you petty, full of in explainable jealousy
Yeah. I single highway is such a marvel.
Only in land of socialism, almost 30 years after the fall of Berlin Wall.
Wake up Tanzania. Just wake the fcuk up.