Nimepata Ka-accident....

Pale Kamakis, Kasenge imenirarukia mbaya, roots hapo kwa tenje ina-nice everything smooth sailing, I was driving towards the flyover, ghafla shenzi ingine inatoka pande ya flyover, gari yake sekete, akapiga right turn bila kupiga indicator, saa hizo mimi niko 95 Km/h, nimemwingia passenger side kama doggy, gari imeuniliwa kwa hewa sijui meter kama 67, akaangukia vibanda zilikuwa hapo. Alhamdulillah nashukuru niko mzima.

[ATTACH=full]195108[/ATTACH]

Pole mdau. I lost my friend along that bypass this June. From then I developed a phobia 4 eastern bypass when am drunk. Sikuuzi me mtu wa Laviva at spur mall

Wah iza bro. Umuhimu uko mzima by the grace of Allah(sw) , gari utatengeneza.

Get a check asap, pole zangu.

Pitia hosi just to be sure. Pole sana. Hope uko na comprehensive

Shiet…si you are always told to assume the other driver is an imbecile. Anyway, thank God uko sawa.

Pole Alhaji, Nuksi imekutoka

hehe… miraaa causes acccident at kamakis. 95kmph at kamakis on a friday is imbecilic. he died?

Eastern bypass is a trap. Kwanza usiku. It has the most inconsiderate drivers, kila mtu ameweka LED, full lights. I think hi hao walevi wa hizo joints

Shait.
Pole jo.

Ease up @mayekeke

It shall be well

Oya TMT pole kwa hayo.

pole shehe

You had a fender bender @mayekeke, lucky to be unhurt, but exaggerations uache. 95kph, 67 meters, you wouldn’t be here to tell the story so soon.

Naona choke ya handas iko intact…

pole ndugu

Chasis haija guzwa…
Radiator haija guzwa…

pole billionaire,lakini si unifunze vile wewe huroll hata mimi nikafunge

Hii sio ka-accident. Ulikuwa unaitwa lakini kukawa na shida ya network.

wah pole El Hajji Papa @mayekeke at least uko mzima.