Wakuu,
Baada ya mtandao mkubwa wa JF kwakweli nimeathirika kabisa.
Yani moyo wangu umekataa kabisa kuamini kuwa JF haipo hewani.
Nakumbuka kero zetu za kijamii zilivyokuwa zikitatuliwa baada ya kuweka JF.
JF iliwasaidia viongozi mbalimbali kuweza kufanya kazi kwa urahisi baada ya kusoma
taarifaJF.
Hii ndoto nimeota nikiwa macho
Baba Mungu simamia Haki
Tunahamishia majeshi huku, JF founders need to join-up forces with KenyaTalk to run this dude together.
Irudi tuu…tumechoka ukimbizi
Hata ikirudi, hatutakuwa safe tena.
Ni kama vile mke atekwe baadae aachiwe halafu useme eti amerudi salama.
Tutakuwa safe…acha kujitisha…
Don’t play yourself.
I better take precautions than relaxing, it will never be the same again.
haitakua safe tena , so long as JF imerudi tena ina maana kakubaliana na terms zote zilizomo kwenye zile papers(nimepata kuziona izo terms)
Ikirudi itabidi wote tuwe verified user
Kua anonymous kuna raha yake bana kua verified mh mh ne ntabaki huku tu
ukimbizini nako si kubaya .
Endelea kuota huenda ndoto ikawa kweli…
Ni shida sana pale nchi inapoongozwa na malimbukeni
Hahahahaaa… Unaogopa kupimwa mkojo!..
Ahahah hapana me sokuwah kuchangia mada siasani sema kuchangia nilikua msomaj tu
Sina hakika,mashetani yanashangilia, yakiamini yameshinda
Ooh… Sisi wengine tulishaamua kujilipua, ni [COLOR=rgb(184, 49, 47)]verified member kila sehemu…
Hongera mkuu me ntakua verified lakini s leo
aisee walaaniwe wote waliochangia JF kutoweka.