Nimelewa wadau

Washeni nilale wadau nimelewa gudnite

Don’t drink and drive shifu

:D:D:D

Ushahidi ni muhimu chief.

:smiley:
Wewe, kwani you live on Ktalk?
Ati good night. That’s what you should say to your family. Go home.

goodnight shifo

Umewekewa mushele wewe.

:D:D

Kojoa kwanza kabla ulale

Drink ilitepwa na hivyo ndio our Master Chief aliwekwa chini na Guinness mbili

gudnite ndio makali gani?

Mimi unaeza niekea mushele anytime @Freyja:smiley:

Nephew (two yrs my junior) kijana wazimu ameniletea hi urogi nimechapa sip mbili nikaondokea…two sips and my head was buzzing already
[ATTACH=full]407283[/ATTACH]Nimemwambia hiyo imebaki anisaidie…

Mediachieth

Unambia wanaume good night kumbaff?

:D:D
[ATTACH=full]407309[/ATTACH]

16% ni kidogo sana mboss mimi maybe zile vodka za 60% ndio zinaeza nitishia maisha

Hii ni barley ango, barley… Niliigulp ki-barley:D

kuna siku nimekunywa faxe mbili nikaona vitu zangu. Beer should not exceed 7%

True