Nimeland

Pombe tu na kupitia. Anko @uwesmake nakutambua. Naona Magdalene ameferk site kabisa. Njoguini annex safisha mecho[ATTACH=full]237448[/ATTACH]

Uliwacha kunywa meffi

Hizo ni fake

Hiyo combination ya Guinness na Morgan si itafanya ukuwe Muhura ndore Ile ya ukweli!

Huyo @uwesgasia mimi apana tambua yeye

[COLOR=rgb(44, 130, 201)]@uwesmomoste [COLOR=rgb(0, 0, 0)]kuja usaidie mlevi mwenzako asiwekee Mchele.

[ATTACH=full]237463[/ATTACH]