Nimekubali

Wanatumianga nyama imeharibika ikikosa kununuliwa in the meat section…who in the right mind buys food in a super

1 Like

Maa huwa poa sana next to ricos. Used to chew kawaitress flani huko ka pum pum ka rasta. She told me that food yao huwa fresh coz it’s made to order. When you order ndio wanapika. It’s one of the few restaurants I know where you can order any thing you want. Huyo owner doesn’t operate na menu. Customer anapewa kenye anataka. Main hustle ya huyo ndauo ni outside catering

3 Likes

I noticed pastry ya Naivas imekuwa dry sana mayeb juu ya kukawia display.

Zenye ziko fresh kwa display ni kama huwa decoy unaona mandas very puffy,fluffy and glittering unaitisha tatu but ukifika huko mbele vitu zimekauka kukauka.

2 Likes

Ubaya ya hii type ni kukaa 3hrs ndio food iwe tayari ready food nayo chances are high ya kupewa takataka ya juzi.

The best hack ni kuenda place watu hudishi sana halafu uende after 2PM. At that time chakula ni mingi na ya jana yote wameshauza.

5 Likes

Kanairo gals do, ndo wanzaaka kushinda Gen X. But mtu asijaribu kugusa hio hotdog ya quickmart

1 Like

Kwanini…nimezikula afew times nikiwa roady for a quick snack but zikanichosha