I have a secret,najiita bigwig kwa forum ya wakenya and they believe I am in Germany. Truth of the matter mimi ni Kondakta kwa gari inaitwa Borrusia Dortmund ya Rongai. Lakini nikiingia kwa hiyo gari naskianga ni kama niko Berlin. Mpaka nakuta naongea German