Hivi JIWE unataka TUFE au tuishi vipi ???
-
I mekuwa ni kerooooooooooooooooooooooooooooo
-
Mibunge ya CCM, zamu yenu YAJAAAAAAAAAAAAAA dhalimu hana rafiki.
MUDA UTASEMA
Hivi JIWE unataka TUFE au tuishi vipi ???
I mekuwa ni kerooooooooooooooooooooooooooooo
Mibunge ya CCM, zamu yenu YAJAAAAAAAAAAAAAA dhalimu hana rafiki.
MUDA UTASEMA
CCM ni janga la taifa
Inawezekana timiza wajibu wako kuliondoa jinamizi hili
Ndugu yangu inaumaa
Sasa wewe ulitarajia kila mhitimu wa chuo kikuu ataajiriwa na serikali? Wahitimu wa vyuo vikuu (output) kwa mwaka sasa hivi ni zaidi ya laki mbili. Hata zile zilizokuwa hapo zamani zinaitwa rare professionals siyo rare tena. Hususani output kwa mwaka wa LLB ni 30,000, BSc(Engineering) ni 10,000, MD ni 3,000 kwa mwaka and so forth. Hayo ndiyo maendeleo na hata kwenye nchi zilizoendelea only a tiny percent wa wahitimu hao hupata ajira serikalini. Nimaendeleo kuendeshwa kwenye bodaboda na kijana mwenye LLB.
Hakika
sana mkuu
Mizwazwa kama nyie CCM inawapenda kweli, soma tena kichwa cha habari utaelewa
T
yaani hilo ni zwazwa plus
Nakuonea huruma ila inapendeza kuona msumeno unakata kotekote…
MD kwa mwaka 3000??..acha uongo wewe…
pole mkuu
:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D
Naungana na wewe, ni wachache watakaojua umemaanisha nini lakini umesema kweli. Nakumbuka alivyokuwa mwanzoni na sasa alivyobadilika. alikuwa muumini mkuu wa upande huo. Ngoja kwanza nitoke nitarudi baadae kuendelea kuelezea wasifu wa @Mkaruka enzi akiwa mtetezi mkubwa wa upande ule
kada mtiifu ha ha ha
kuna maisha baada ya zile siasa
hahahah, nikikumbuka enzi zake @Mkaruka na akina @Lizaboni hahahahah. sijui ni nini kilimpata maana ghafla nikaona kaichukia CCM na uongozi wake. (ngoja niwaze kwa sauti, labda issue za vyeti feki, hahahahahaahah). Uwe na siku njema Evenly Salt
Umemsahau bi mkubwa faiza foxy sijui kakimbilia Oman kufanya kazi za ndani sijui atakua wapi…
siku njema pia
:D:D:D:D Ahsante na wewe pia.
Gurupu letu bado tu Evelyn Salt? Nawaza tu lkn
Get dough or die.
mkuu pole sana…mpumbavu huyu anajribu kuziba mirija yote iliyo halali ya kujiingizia kipato…nafikiri itafika wakati tutaamua kutumia mirija isiyo halali kupata kipato…hapo ndio tanzania itakuwa uwanja wa vita ambayo jiwe na ccm wanaipalilia pasipo wao kufaham