Nimegundua sisi watanzania ni wastaarabu sana kuliko Wakenya

Habari “wana diaspora”

Toka nisome some post za humu ndani nimegundua Watanzania ni Wastaarabu kuliko hawa jamaa Wakenya. Hawa jamaa wana matusi aisee(angalia post zao) na ya waziwazi mtu akimkanyanga anamwambia bwana umenikanyaga sio sisi ile mtu amekukanyaga una mwambia “oh usijali”

Na ustaarabu wetu si ajabu umetugharimu mpaka tumefika hapa ugenini na kuendelea kuwa chini ya CCM.

Ndio utamaduni wao huo mkuu

Ndio maana umewafikisha hapa walipo.

Matusi made in Kenya

Social Media refugee made in Tanzania

Hahahah! Tutakugawa Kenya wewe

Ukimbizi we2 cjui utaisha lini?

Mapema sana nishanyakua mbebezi @Shiroe hadi hapo sigawiki tena

Usiniambie mzee, sasa lithread basi lihusike tena

Hahahahaaa

Matusi yao ni bure tu, sisi tupo humu mpaka kieleweke.

Hmm!.. Kiukweli mimi sijijui kama ni mkimbizi au mhamiaji haramu…

hili neno mkimbizi nikiliona linaniuma kweli sema ndo ukweli huo

Ngoja turudi me nakuchabo

kawaida tu mbona

Kila watu na tamaduni zao…

Cc: @Mahondaw

True, Kenya wako free sana

usitake iga maisha ya kibeberu wakati we ni mjamaa

mkuu wala hata usipate shida maana we si mkimbizi kiuhalisia maana watu tunatumia ista. twitter, fb, na social network nyingine toka nje kwanini tusijiite wakimbizi kwa hayo ila hukuuu? ni maneno tuu mkuu

Lakini hata hayo matusi ni ya kishamba sana sijaona tusi jipya kwao